Muda wa malipo wa kitu kimoja unadumu siku nzima.
Mfano: Kama samaki ukichagua leo utalipwa baada ya wiki moja basi inakuwa hivyo siku nzima. Kama Kahawa ukichagua leo unalipwa baada ya miezi miwili, basi inakuwa hivyo siku nzima. Kama asali ukichagua leo unakuwa umepoteza, basi inakuwa hivyo siku nzima. Kesho yake ndio vitu vinaweza kubadilishwa muda wa malipo na ushindi.